Rais wa TFF,Leodgar Tenga alizungumza leo katika mkutano mkuu wa TFF uliomalizika jioni hii katika ukumbi wa NSSF Water Front,jijini Dar.ambapo wajumbe walijadili maswala mbali mbali likiwepo la kuendeleza mkakati wa kuendeleza mpira wa miguu chini kuanzia ngazi ya chini.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF wakifuatilia ajenda mbali mbali zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...