Kikundi cha kwaya cha KKKT-Azania Front kikiwasha moto katika Tamasha la Upendo lililokuwa limeandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania-KKKT usharika wa Azania Front, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuchangisha hela ya kuwawezesha wanakwaya hao kwenda mjini Mbeya kutoa huduma na zawadi kwa watoto yatima.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania- KKKT (wa pili kulia), Alex Malasusa ambaye alikuwa mgeni akifuatilia tamasha hilo pamoja na wageni wengine toka sehemu mbali mbali.

kwa picha zaidi

BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. uuuuwwwiii home sweet home...michuzi utatuliza wenzako.....this is my home church.......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...