Mbunge wa Ubungo John Mnyika akiwahutubia wananchi wa kata ya Goba katika mkutano wa Mbunge uliofanyika katika Mwembe Madole,Pamoja na kusikiliza Risala ya wananchi Mnyika pia aliongea na wananchi wake kuhusu kero mbali mbali zinazowakanili,ikiwemo ya Maji.
Diwani wa kata ya Goba Bwana Kisoke akileza jambo kwa Mbunge mbele ya wananchi katika Mkutano huo,Alikuwepo pia Diwani wa viti maluum


Wananchi wakitoa kero zao kwa Mh. Mnyika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Naona Wabunge wa CHADEMA wana vision tofauti na wa CCM! nimeona ya MMbunge wa AR mr Lema inatisha! hawa ndio Wabunge tunaowataka! hawa wa CCM wanavyokalia POLITIK mwaka 2015 itakula kwao!

    ReplyDelete
  2. Dogo yuko safi. CCM msimchakachue na huyu kama mlivyomchakachua ZK..Mwacheni akue kisiasa awe msaada kwa watanzania walio wengi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...