Marehemu Shadrack Balira

Familia ya Meshack Balira iliyoko New Hope, Minnesota, Marekani inasikitika Kutangaza kifo cha ndugu yao Shadrack Balira, Kilichotokea leo huko Bloomington Minnesota.
Maandalizi ya kuusafirisha mwili kwenda Bukoba Tanzania tarehe 3/28/2011 yanaendelea.
Kama sehemu ya maandalizi ya kusafarisha mwili wa marehemu tunategemea kuwa na harambee siku ya Ijumaa tarehe Machi 25, 2011. Tutawajulisha mahali itapofanyikia harambee hiyo kabla ya Ijumaa. Gharama ya kutunza mwili, kuusafirisha na pamoja na wasindikizaji itagharimu takriban dola za kimarekani elfu ishirini ($20,000)

Kwa wale ambao hawataweza kufika
mnaweza kutuma rambirambi yako kwenye account hii
Meshack Balira
TCF Bank
Route# 599913501
Account # 3862282359
Kila siku tutakuwa tunakusanyika nyumbani kwa Meshack kuanzia saa 1 jioni,
Anwani ni:
4701 Decatur Ave North
New Hope, MN 55428

Tutaendelea kuwataarifu kuhusu mipango ya maandalizi kwa ujumla.
Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na watu wafuatao:
Patrick Vedasto - 763-458-0353
Josiah Kibira - 763-229-2495
Joel Mburu - 952-217-0264
Charles Semakula - 952-465-1130

Mchungaji: Andrea Mwalilino – 952-201-5054

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Pole sana familia ya Shadrack Balira. Mshikaji bado kijana sana, ila mapenzi ya mungu ndio hayo. RIP Shadrack.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...