Mwenyekiti wa chama cha NCCR - Mageuzi,James Mbati akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) waliofika leo katika makao makuu ya chama hicho ambacho kilikuwa kikitoa taarifa ya ziara yao iliyofanyika katika mkoa wa Kigoma hivi karibuni,ambapo wameeleza mambo mbali mbali yanayoukabili mkoa wa Kigoma yakiwemo ya uharibifu wa daraja la mto maragarasi.katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho,Laurent Surumbu na kulia ni Faustin Sungura.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...