Waziri wa Uchukuzi Dr. Omari Nundu akifungua mkutano wa tatu wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka wa Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Dodoma. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo, Bw. Fadhili Manongi na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE, Bw. Eugene Lwala.

Ukumbi wa mkutano wa tatu wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka wa Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Dodoma. Picha na mdau Abel Ngapemba wa TCAA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...