It has reached a point where true talent has to be anointed. As the British saying goes, “If you can’t be good, be careful”. Honestly the way hip hop has been treated on the Kilimanjaro Music Awards is a shame and I promise there won’t be any word in relation to my humble opinion on this open letter.

For how many years has Hip hop been kicked to the curb? Loyal fans have been dull with the hope that next year maybe hip hop will be fully acquainted with the facts and awards it deserves. So it’s all true that over a long distance, you learn about the strength of your horse; over a long time, you learn about the character of your friend. And we have come to understand the intention and bias of the Kilimanjaro Music Awards.

How does the Kilimanjaro Music Academy expect Hip Hop musicians to be motivated to do full LP’s for nothing? I mean over the course of years now Hip Hop has managed to place well executed and solid albums on shelves but they go unrecognized as if it’s all fine. An example of such atrocity would be the song “Propaganda” by Fid Q. How can the Academy allow that song to go unnoticed? Come on people, why do we lie or fool ourselves; let’s come to terms with reality here.

It might just be a genre or a sub genre to you but to many, especially youth, hip hop is a culture, it’s a way of expressing the oppressed people in the community, the way of getting through a rough day in life, a sense of belonging, hope and identification. The meek voice is brought through to the large audience and appreciated immensely.

It looks like now even Africa doesn’t want to push Hip Hop that has knowledge and positive message in it; this is very upsetting to see. Can we Africans live our civilized African ways and allow Westerners to represent what started on our very own soil? Please allow the African society to be presented as it is. Allow us to reap for what we have sown. Equality among the genres is highly anticipated. This bandwagon jumping has been too much.

What exactly is the work of the academy, do they really do research that is unbiased? Do they go to the streets and feel the buzz? Let’s say the winner is really acknowledged by the vote cast of the citizen, then it’s safe to say that the categories and the nominees should be selected by the mass next time.
We have to consider the quality of music, mass appeal, the comportment of the artist, their involvement in the community, influence on society and many more upon selecting the best hip hop artist of that particular year. I mean Africa, East Africa, Tanzania we are faced with dilemmas day and night and hip hop is the way of coping for many today.

Do not allow these artists to feel discouraged or those winning unfairly feel that they deserve it when others beg to differ. This year’s awards have passed and this letter is just a beginning. Hear our voices; hear the cry for equality, change, difference and acceptance because if you don’t, more action will be taken until we all make the most of it.

Regards,

Daniel A. Sepetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hip hop ya bongo haina future kimataifa sababu ni ya kuiga. Ni ya watanzania wanaojifanya wamarekani. Kwa hiyo hip hop ta bongo inakubalika na idadi ndogo ya watanzania (hasa waioko mijini na wanaokwenda club). Hip hop za waganda zinabebwa na beats za kwao (zile za ki dance hall) kwa hiyo wao wananakubalika na wengi nchini kwao na wanauza sana mziki wao ndani na nje ya nchi yao. Na ndio maana wanamziki wa bongo ni maskini na waganda ni matajiri. Wanigeria nao wanaweka vionjo vya kiafrika kwenye hip hop yao. Hip hop ya bongo haina future! Bwana Daniel tafakari hii utaona ukweli wake.

    ReplyDelete
  2. Daniel, I agree with you that the way hip hop has been treated on the Kilimanjaro Music Award (KMA) is a shame and can not be tolerated any more. I am of opinion that, it high time for people or firms with good will to come up with other academies that will take care of specific or all music categories. I don't believe that the KMA should remain the sole music award academy in this country? And with their unbiased perspective and altitude we cant take the music of this country any far.

    Kwa rafiki yangu hapo juu anayedai hip hop bongo haina future kimataifa sababu ya kuiga. Hivi kuna raggae, R & B, kwaito, rap au blues iliyo-originate Ilala, Nangurukuru, Mwandiga, Rundugai, Uyole, Unga Ltd, au Loliondo??? Lakini hivi wimbo wa Mpoki wa shangazi una future gani kimataifa?? Kwanza Mpoki mwenyewe ameiga kwa Mjomba na bado amepata tunzo. Cha kusema hapa ni kwamba, kama KMA wanataka kuboresha basi wa set criteria za kuhakikisha hiyo hip hop inakuwa na vigezo vya Kitanzania na wanahip hop watatunga kwa kuuza lakini wata-abide by the criteria

    Naomba kuwakilisha Ankal

    ReplyDelete
  3. Kitendo cha mlalamikaji kutetea hip hop kwa kiingereza inaonesha jinsi tatizo la hiphop liliko. Hiyo hip hop ingekuwa ya Tanzania ungeitetea kwa lugha ya Kitanzania, Tatizo la hiphop ya nchi hii kama alivyosema mheshimiwa hapo juu imebakia bado na umarikani mwingi, wanahiphop kama kweli ni Watanzania waingize utanzania katika muziki wao huo wasitafute mchawi.Nimeidharau Kilimusic awards za mwaka huu kuliko miaka mingine yote lakini si kwa sababu za huyu bwana

    ReplyDelete
  4. Bora ya Maboya wataelea kwenye maji ila kwa hizi mtapiga deki nyumbani kwa watangaaa????? Ukisikia sound nzuri ujue ni mgeni co wahapahapa,Mademu mnawapitia makwao hamuwangojei cd za show mnakuja kuwauliza ma???,Nawapigisha kwata haijalishi mchezo umejaa watata watu kitaa wamedata nikianzisha wanafata"---24/7 Brand kama Blu Magic A-CITY STAND UP HIP HOP 4 EVER

    ReplyDelete
  5. kaka we mwenyewe vizungu vingi sana,japokua sijakuelewa lakini kwa kutumia akili yangu Hip hop si mziki wa Bongo,haiwezi kuuza wala kuheshimiwa hapa.wanamuziki wa West Africa walikua wa kwanza na Wasouth Africa kuimba Hip hop,wengi wao wameona hailipi wamebakia na Kwaito + oyoyo.Wasanii wabongo wanaoimba Hip hop wanaiga kuanzia dresscode,tone na hata mashairi ya wale wa Majuu.Please Mwangalie Jaymoe,somehow aliimba Hiphop lakini ya bOngo ndo mana enzi Zile Kama unataka demu alipiga shows na Bado tunamuheshimu.Mweke Joe makini,hata sijui ni nini waga kigezo cha yeye kupewa tuzo,full kuiga.Kbakia kurudia nyimbo,same tone,same lyrics absolutely nothing New.Kwa staili hizi,Hip hop is RIFA SIEMPRE ADIOS

    ReplyDelete
  6. HIP HOP TZ NI YA KUIGA KWANZA HAINA MAANA EBU SOMA JAPO HIYO VERSE HAPO JUU YA MDAU UNIAMBIE INA MAANA GANI?HAKUNA MSG NA KILI AWARD NI WANANCHI WANAOAMUA JAMANI, NA WANKUBALI MZIKI WENYE ASILI YETU, USHARBAR, SIJUI HARD CORE BONGO WAPI NA WAPI? TAARAB, ZOUKHU, ETC ZINALIPA, NA ZINAPENDWA, ILA UKIASHAANZA """ YOYOYO, NAKUJA NAWAFUNUIKA KAMA PWAA, MSINILETEE ZA KULETA HAMNA KITU NINYI DOGO NIMETULIA KAM MAI YA MTUNGI"" aaaah mambo gani haya mtu ananimba? bado bana njooni USA inafit because huku ndo imezaliwa!

    ReplyDelete
  7. MliakuvanaMarch 29, 2011

    Hip hop ya bongo si ndio ijulikanayo kama "Bongo Flava"? Hip hop yenyewe kutoka Marekani wengi walisema hivyo hivyo eti haiona future but cha kushangaza ipo juu tangu miaka ya mwisho ya 1970s!! Bongo flava inapitia njia hiyo hiyo, haikubaliki, haina future, wanaiga etc etc, but imetokea kuwatoa wanamuziki wa bongo flava kibao!

    Kuna mabadiliko mengi tu na mazuri tangu "album" ya kwanza kuisikia ya Gangsters With Matatizo (GWM) back in the day mpaka sasa. Mheshimiwa Mr. II aka II Proud na Sugu ana album ngapi sijui 9 au 10 and still going strong! AY, from singing with Crazy GK on the "defunct"? group east coast mpaka leo utasema hana maendeleo kweli? Another product of east coast crew? Stan Boy yupo majuu anatesa! What about Mr. Nice who took the east Afrikan scene by storm, akaenda mpaka tour Marekani and he sold out each of the venues he performed in? The man has disappeared but his Music still lives on!

    Bongo Flava is our hip hop .........deal with it!! Eti Waganda wanaimba mimbo yao na ni matajiri! Maybe, but the last time I checked waGanda wengi wanaimba dancehall music, the so called ragga, in their own language mixed with pidgin English - sisi tunaimba hip hop in kiswahili eti tunaiga! Puleassee!!!

    Nakumbuka lile group la Afrika kusini /Zimbabwe TKZ walikuja Marekani mara ya kwanza wakiwa ndio big boys huko Afrika. Eti wakaja wakapiga show in one of the suburbs huko New York City. Walitokea only a couple of people, I think mainly homeless, kuja kuwaona! Why? Muziki wao ni wa kiafrika zaidi na audience yao ni waafrika! Walijifunza - 6 months later wakaja for tour geared for the Afrikans! Walijaza ukumbi zote!!

    I can agree that Kili Music Awards zina mapungufu yake but kurundika the shortcomings humohumo of Tanzanian hip hop is not right. Another thin I think kuhusu Fid Q: nadhani anaimba at too much of an "intellectual level" huku anawaacha watu wengi kwenye mataa. he may talk sense but personally I am not a fan of his music and I did not notice whether he deserves a Kili Award or not or who he was up against and what song. Vilevile, is Kili Awards based on sales, popularity, fan voting or what? Maybe the way Award winners are compiled may shed some light as why artists and songs slip through the cracks into oblivion. Think about it Mpoki's song won over Mjomba's? Talk about things that make you go mmmhhhhhh!!!!!

    ReplyDelete
  8. WATAYARISHA WA TUNZO HIZI WAMEKOSEA NINI KUHUSU HIP HOP? KINACHO FANYIKA MIAKA YOTE WANATAZAMA NI NYIMBO IPI/ZIPI ZILIZO VUMA NA KUPENDWA KTK MWAKA ULIOPITA!!

    SUALA HAPA SI KUIBEBA TU AINA YA MUZIKI FULANI AU MWANAMUZIKI FULANI WAKULAUMIWA NI WAPIGA KURA(WANANCHI)WANAOTUMA SMS KWANI KATIKA KILA CATEGORY KULIKUWA NA WASHINDANI WASIOPUNGUA 5 BAADA YA MCHUJO WA WANAMUZIKI 10.

    ReplyDelete
  9. Wewe unayetetea hip hop ya bongo kwa mifano ya AY,Sugu, nk unaona hao wana mafanikio? Wana soko la kimataifa. Soko la kimataifa lenye maana kwenye entertainment industry ni western. Taka usitake hip hop (au bongo flava) ya tanzania itakuwa na future kama wakiweka vionjo vya tanzania badala ya mwelekeo wa sasa wa kimarekani. Progress ya uganda na nigeria ni mfano.

    ReplyDelete
  10. MAN DANNY NAKUUNGA 100% UMEONA MBALI MZAZI..ILA BONGO NADHANI UNAIJUA, HAYA MAMBO YAPO TOKEA KITAMBO N HAYATOBADILIKA KAMWE,KUMBUKA KICHWA KAMA CHA SOLO THANG(TRAVELER) KAZI ALIZOKUA ANAFANYA,HADI AKATOA "KILIO CHANGU"..FID ANASTAHILI TUZO KWAKWELI UKIANGALIA KAZI ALIZOFANYA NA MISTARI ANAYOANDIKA YANI NI "REAL HIP HOP" LAKINI WANAPEWA WATU FLANI WANAOPENDWA NA "RADIO" FLANI INAYOSAIDIA KIASI KIKUBWA KUANDAA HIZO AWARDS NA HASWA UKIZINGATIA WATANGAZAJI WA HIYO "RADIO" NDIO MA "MANAGER" WA HAO WANAMZIKI,BOB DANNY KWAKIFUPI HATA IWEJE ITABAKI KUWA "SAME OL S**T".. R.FUNDIKIRA..PAMOJA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...