Meneja wa Timu ya Soka ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Mh. Omar Yussuf Mzee ambaye pia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na mipango ya maendeleo (kushoto) akimkabidhi mipira Mwenyekiti wa Timu ya Baraza la Wawakilishi, Hamza Hassan Juma visiwani Zanzibar leo.
Meneja wa Timu ya Soka ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Mh. Omar Yussuf Mzee ambaye pia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na mipango ya maendeleo akimkabidhi 'jezi' Mwenyekiti wa Timu ya Baraza la Wawakilishi,Mh. Hamza Hassan Juma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...