Waziri wa Maji, Profesa, Mark Mwandosya (kushoto), akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Injinia Christopher Sayi, kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari leo, makao makuu ya Wizara ya Maji, Ubungo, Dar es Salaam, kutangaza kuanza kwa maadhimisho ya wiki ya maji na siku ya maji Duniani, yanayoanza kesho.
Kwa mujibu wa Profesa Mwanadosya Maadhimisho hayo Kitaifa yanafanyika mkoani Mwanza. Katikati ni, Mwenyekiti wa Maalizi ya Maadhimisho hayo, Bw. Lista Kongola. Picha na Bashir Nkoromo
Kwa mujibu wa Profesa Mwanadosya Maadhimisho hayo Kitaifa yanafanyika mkoani Mwanza. Katikati ni, Mwenyekiti wa Maalizi ya Maadhimisho hayo, Bw. Lista Kongola. Picha na Bashir Nkoromo

Wiki ya MAJI bila maji!!!!!?????????? leo ni siku ya sita hakuna maji eneo kubwa la jiji la Dsm - Waziri ni bora angehairisha kwanza mpaka uhakika wa maji utapopatikana.
ReplyDeleteWaiite wiki bila maji na siyo wiki ya maji. Aibu kwa jiji kubwa kama Dar kukosa maji. Na hapo hatujazungumzia kuhusu tatizo sugu la umeme. Acha tu, nchi hii... kazi ipo
ReplyDelete