Waziri wa Maji, Profesa, Mark Mwandosya (kushoto), akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Injinia Christopher Sayi, kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari leo, makao makuu ya Wizara ya Maji, Ubungo, Dar es Salaam, kutangaza kuanza kwa maadhimisho ya wiki ya maji na siku ya maji Duniani, yanayoanza kesho.

Kwa mujibu wa Profesa Mwanadosya Maadhimisho hayo Kitaifa yanafanyika mkoani Mwanza. Katikati ni, Mwenyekiti wa Maalizi ya Maadhimisho hayo, Bw. Lista Kongola. Picha na Bashir Nkoromo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wiki ya MAJI bila maji!!!!!?????????? leo ni siku ya sita hakuna maji eneo kubwa la jiji la Dsm - Waziri ni bora angehairisha kwanza mpaka uhakika wa maji utapopatikana.

    ReplyDelete
  2. Waiite wiki bila maji na siyo wiki ya maji. Aibu kwa jiji kubwa kama Dar kukosa maji. Na hapo hatujazungumzia kuhusu tatizo sugu la umeme. Acha tu, nchi hii... kazi ipo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...