Spika Makinda akizungumza na watanzania wanaofanyakazi nchini Liberiana kuwahimiza kuendelea kuijengea Tanzania heshima bila kusahau kurudi nyumbani Tanzania. 4. Akina mama waishio Liberia wakimpongeza Mama Anne Makinda kwa kuwa mwanamke wa kwanza katika historia ya Tanzania kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge
Picha ya pamoja ya akina mama waishio Liberia wakiwa na Spika wa Bunge.
Viongozi wa Watanzania waishio Liberia waliomtembelea Mh. Spika Makinda (katikati) hotelini. Kutoka kushoto ni Bingwa wa Malaria Dkt Temu, Mtaalamu wa usalama wa Anga Bw. Kitambi, Mwenyekiti wa Jumuiya Afande John Minja na Mshauri-Bingwa wa Afya ya Jamii Dkt.Bategereza. Wengine ni wasaidizi wa Spika Bi. Susan Hokororo na Bw. Herman Berege
Watanzania waishio Liberia wakiwa katika picha ya pamoja na Spika Makinda walipomkaribisha chakula cha jioni jana katika Makao Makuu ya Ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa mjini Monrovia, Liberia. Picha zote na na Prosper Minja – Bunge.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani mbona hiyo meza aloekewa spika wetu mbovu sana au waandaaji hawaioni,haiendani kabisa na hadhi ya spika

    ReplyDelete
  2. Bingwa wa Malaria ndiyo cheo gani?

    ReplyDelete
  3. that is my dad John Minja.He is a wonderful man and dad.Proud of him.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...