Kipa wa timu ya klabu ya wazee ya Arusha,Simba Kitwana akijaribu kumpiga chenga mshambuliaji wa timu ya wabunge wa Kenya,Bernad Otoro katika mchezo wa kirafiki uliopigwa juzi katika viwanja vya general tyre uliopo Njiro mkoani Arusha.
Washambuliaji wa timu ya wabunge wa Kenya wakilishambulia lango la timu ya wazee klabu huku golikipa wa timu hiyo akiwa amelala chini.

Mwenyekiti wa BUNGE F.C. akiwa na mh. DAVAID KOECH na Mh. VICTOR MUNYAKA akitoa zawadi kwa mwenyekiti wa Wazee wa Arusha bwana DUNFORD MPUMILWA

mwenyekiti wa timu ya bunge la Kenya na kiongozi wa timu, Mheshimiwa EKWEE D. ETHURO, akikabidhi zawadi ya Bunge la Kenya kwa Arusha Wazee Club
mwenyekiti wa timu ya bunge la Kenya na kiongozi wa timu, Mheshimiwa EKWEE D. ETHURO, na ndiye aliye vaa nyeupe na jina la bunge akitoa hotuba
Katibu wa bunge la nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki Bwana KENNETH MADETE akitoa hotuba.
Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...