Home
Unlabelled
HEPI BESDEI YA KUZALIWA MTOTO MARTIN Jr DAVIS.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Happy, Happy birthday baby, Mmwaaaaaaaaaaaaaa!
ReplyDeleteKaka Michuzi.
ReplyDeleteNaomba, kwa nia nzuri tu uwaeleweshe hao wazazi kuwa pamoja na mapenzi makubwa tuliyonayo kwa watoto wetu lakini sio vizuri kwa mtoto mdogo wa umri huo kutumia SIMU ZA VIGANJANI.
Mionzi mikali inayotoka hapo, ubongo wake bado ni mchanga sana kuweza kuihimili hivyo kusababisha MADHARA hata kama yatajitokeza kwa siku za baadae sana.
Asante
Happy birthday Martin..Naomba kuuliza, hivi simu za viganjani..(simu za ukweli, sio vitoi), ni salama kwa watoto??? Wazazi wengi tuna tabia ya kuwapa watoto simu kuzungumza na ndugu lakini kama mionzi ina side effects kwa wakubwa, si zaidi sana kwa watoto?
ReplyDeleteJamanim Happy Birthday si ina maanisha - Heri ya siku ya kuzaliwa sasa happy birthday ya siku ya kuzaliwa tena wapi na wapi?
ReplyDeletesafi dogo huyo anaonyesha atakuwa vipaji kibao.mfano mpiga boli matata sana,mwana IT,hafu na raba zake hizo anaashiria kuwa msanii mzuri sana wa muziki. la msingi wazazi mtunzeni vizuri msizidishe mapenzi mpaka basi na michoklate isizidi sana akue na mwili wa wastani sawa jama.
ReplyDeletemzazi hukukubali hadi laptop imeonekana.
ReplyDeleteHappy birthday boy .....BUT dont use your dady's mobile phone until you grow up, it is not safe for you. Okaaaay Uncle Martin?
ReplyDeleteDOGO akikua atakuwa mshabiki wa CHELSEA anaonekana tu.HAPPY BIRTHDAY DOGO
ReplyDelete