Msanii wa Bongo Flava,Ali Kiba akilishambulia jukwaa usiku huu ndani ya ukumbi wa diamond jubilee holi.
Ma MC wa leo ni Milad Ayo na Penny
THT wakifanya mambo yao.
Msanii wa Bongo Flava,Diamond akiwaburudisha mashabiki usiku huu.
THT Band ikitumbuiza.
kwa picha zaidi za waliopokea tuzo usiku huu
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Safi sana michuzi kwa kutelea habari muhimu kama hizi in a real time basis. Yaani kwa habari moto moto we ndo tegemeo letu kuu kwa sisi tunaotumia mitando kupata habari za Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Asante!!!!!!

    ReplyDelete
  3. 20% Umetisha, tuzo zingine zimechakachuliwa lakini hapa kwa 20% wameshindwa...... Safi sana Kuruta la farm boy...... kaza buti mwakani tuzo 10.

    ReplyDelete
  4. kweli tuzo hazina utata kama mapungufu yapo lakini madogo madogo naamini yatarekebishwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...