Magari mengi yakiwa yameegeshwa katika barabara ya azikiwe jijini dar kutokana na ufinyu wa sehemu za kuegeshea magari hayo katikati ya jiji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Waliojenga gorofa hapo hawakufikiria hilo au!?

    ReplyDelete
  2. kweli kuna shida ya kupaki magari lakini paking yake hipo hovyo magari mengine ya angalia hukule mengine huku kupaki kwa magari nako kuna ufundi wake angalia jifunze kwa wenzentu walio endelea

    ReplyDelete
  3. tatizo bongo ni zile sehemu zote za parking mjini enzi ya Nyerere zimegeuzwa vituo vya taxi yaani huu ni ubabaishaji usio na kifani wa serikali watu wapo wapo tu mjini hamna kazi wala nini enzi ya 1970 to late 1980 yaani Dar town ilikuwa maniki sana weekend kuazia Azikiwe Empire cinema mpaka Samora Empress ukija Makumbusho unarudi Posta ya zamani yaani hizo watu walikuwa wanatoka na family kutembea sio sasa machinga na vibaka mpaka Ikulu

    ReplyDelete
  4. hata majuu tunapaki barabarani sema kistaarabu zaidi

    ReplyDelete
  5. Nani alikuwambia Tanzania kuna town planing? Na kama ipo ipo kwa manufaa ya hao wafanyakazi na siyo kwa mwannchi. Plan ni wewe mwenyewe una gari fikiria jinsi ya kilibeba pia, sio una plan ya kununuwa gari kumbe maskini hata mahali pa kuliendeshea kwa amani huna.

    ReplyDelete
  6. Hiyo ni pesa ambayo kama police wangetenga parking kwa ajili ya hayo magari,kitengo hicho cha usalama barabarani kingeweza kutengeneza pesa ya kuwekea alama za barabarani kwani sehemu kama hizi zipo kibao ndani JIJI la Dsalama. POLICE, TAFADHALINI KUWENI WABUNIFU. MAENDELEO YA NCHI HAYALETWI NA BAJETI YA SERIKALI PEKEE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...