Align CenterWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dr. Mary Nagu akizungumza na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya China, ulioambatana na Jumuiya ya wafanyabiashara wakubwa Duniani kutoka nchini China walipofika Ofisini kwake Jijini Dar es Salaa leo. Ujumbe huo umekuja kwa nia ya kujenga mahusiano makubwa baina ya Tanzania na China katika kuboresha na kuinua uchumi wa Tanzania kupitia Idara ya Uwekezaji na Uwezeshaji ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Baadhi ya wajumbe wa ujumbe huo kutoka China wakiwa katika Kikao na Waziri Nagu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hakuna kuinuwa maisha ya mwannachi, hawa jamaa wantaka rasilimali zetu wachukuwe waondoke zao. Tutabakina mshimo tu. Michuzi usibanie kwani hata mjukuu wako hatafaidi kitu hapa. Akipata akili kila kitu kitakuwa kimeshahamia china na tutakuwa tunatumiwa vibovu tu kama kuwa mahali pa kutupia takataka zao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...