Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hadji Mponda akionyesha vitabu vya mkataba kwa mtaje wa bohari ya madawa mara baada ya kuvizindua,kulia ni mwenyekiti wa bodi ya bohari ya madawa Balozi Eva Nzaro. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa Bw. Joseph Mgaya
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hadji Mponda akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa Bw. Joseph Mgaya kitabu cha mkataba kwa mteja.
Dkt. Hadji Mponda akizindua rasmi ghala la kufungashia makaya ya dawa na vifaa tiba katika ofisi ya kanda ya Mtwara ambayo imegharimu shilingi za kitanzania zipatazo milioni 468,217,476, ujenzi huo umewezeshwa kwa msaada toka mfuko wa Kimataifa wa kupambana na ukimwi,kifua kikuu na Malaria pamoja na ziada itokanayo na bohari hiyo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hadji Mponda akitazama jinsi ya ufungashaji wa madawa unavyofanyika katika bohari hiyo ya kanda ya Mtwara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...