Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ngara, Deogratias Ntukamazina kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Moshi Vijijini na Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Cyril Chami (kulia) na Mbunge wa Viti Maalum, Maria Hewa, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwatania wanafunziiwanja v wa Shule ya Sekondari ya Central ya Dodoma, kwenye vya Bunge Mjini Dodoma leo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...