Mwandishi mwandamizi wa kituo cha Televisheni cha Channel 10, Da' Faraja Kihongole akiwa na akiwa amepozi na mume wake, Projestus Rwegarulila baada ya kumeremeta leo Alasiri katika Kanisa la St. Peter Oysterbay jijini Dar es Salaam.Projestus Rwegarulila pamoja na wapambe wao.
wino huku mai waifu wake pamoja na padri wakiangalia.







Tunamkaribu shemeji Alabama kwa vifijo.
ReplyDeletemkuu hata umetukimbia huku hata hakuna mwaliko wala nini.hongera sana
ReplyDeleteroyal wedding ya dar. mmependeza sana
ReplyDeleteHongera sana dada Faraja na shem. Mungu awape maisha marefu na ya upendo na amani.
ReplyDeleteDa'Faraja umependeza saaaaaaana hasa baada ya kuondoa zile "dreads"...kumbe wewe ni kifaaa! Hongera dada!
ReplyDelete