Mwandishi mwandamizi wa kituo cha Televisheni cha Channel 10, Da' Faraja Kihongole akiwa na akiwa amepozi na mume wake, Projestus Rwegarulila baada ya kumeremeta leo Alasiri katika Kanisa la St. Peter Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Da' Faraja Kihongole akiwa amepozi na mai hazbendi ake,
Projestus Rwegarulila pamoja na wapambe wao.
Nondozz zikionyeshwa mara baada ya kumwaga wino.
Shemeji Projestus Rwegarulila akimwaga
wino huku mai waifu wake pamoja na padri wakiangalia.
Da' Faraja Kihongole akimwaga wino.
Wakiingia kanisani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 01, 2011

    Tunamkaribu shemeji Alabama kwa vifijo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 01, 2011

    mkuu hata umetukimbia huku hata hakuna mwaliko wala nini.hongera sana

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2011

    royal wedding ya dar. mmependeza sana

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2011

    Hongera sana dada Faraja na shem. Mungu awape maisha marefu na ya upendo na amani.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 02, 2011

    Da'Faraja umependeza saaaaaaana hasa baada ya kuondoa zile "dreads"...kumbe wewe ni kifaaa! Hongera dada!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...