Mkurugenzi wa kampuni ya 5 Effects,William John Mtitu (kushoto) akitoa maelezo jijini Dar es salaam kwa Kamishna wa Utamaduni na Michezo wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo wa SMZ, Hamad Bakari Mshindo(katikati) juu ya vitu muhimu vinavyohitajika kuanzisha Studio ya muziki na michezo ya kuigiza. kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu -Tanzania kutoka Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Joyce Fissoo.
Mkurugenzi wa Utawala wa Kampuni ya HAAK NEEC Production Godfrey Mahendeka (kushoto) akitoa maelezo jijini Dar es salaam kwa Kamishna wa Utamaduni na Michezo wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo wa SMZ, Hamad Bakari Mshindo (katikati) juu ya vitu muhimu vinavyohitajika kuanzisha Studio ya muziki na video za michezo ya kuigiza. kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu -Tanzania kutoka Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Joyce Fissoo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...