Balozi wa Rwanda nchini, Fatuma Ndangiza (kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari kuhusu maandamano ya maadhimisho ya 17 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda yatakayoanzia eneo la Mwenge Jijini Dar es salaam na kumalizikia Mlimani City leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Katibu katika Ubalozi wa Rwanda hapa nchini Ernest Bugingo. Maandamano ya maadhimisho hayo yanatarajiwa kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kama hujui kufa tazama kaburi. Hii ni changamoto kwetu tunaotaka kujigawa kwa kutumia makabila na dini zetu.

    ReplyDelete
  2. eeeh mungu naomba uendelea kuwalaza mahala pema peponi. wameondoka bado tunawapenda,bado tunawahitaji.

    kazi ya mungu haina makosa uliwapenda zaidi.

    never,never and never again genocida


    mdau kigali makazi boksini kusaka chake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...