Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalum wa Rais wa Somalia ulioletwa ikulu jijini Dar es Salaam na mjumbe maalum wa Rais huyo, Bw. Mursal Saney ambaye pia ni mkuu wa itifaki wa Somalia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye mazungumzo na mjumbe maalum wa Rais wa Somalia, Bw. Mursal Saney alipomtembelea Ikulu,jijini Dar es Salaam leo.Picha na Freddy Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Safi sana, hii ndiyo njia pekee ya kukwepa Wikileaks.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...