Marehemu Sheikh Ali Salmin Jaha

Inna lillahi wa inna ilaihi raajiuun. Jumuiya ya Watanzania Leicester, Uingereza inasikitika kutangaza kifo cha ndugu yao, Sheikh Ali Salmin Jaha, kilichotokea leo, tarehe 27 Aprili 2011. Mipango ya maziko inafanyika Leicester 25 Cokayne Road, LE3 6NE kwa bwana Abdul Dau. (TAARIFA YA MAZIKO ITATOLEWA BAADAE)

Kwa yeyote mwenye mchango wake wa hali

na mali awasiliane nasi kwa namba zifuatazo:

Namba za simu : Suwedi Abdallah +447796080601

Salim Awadh +447949421087

Rashid Saadallah +447896916032

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. INNALILLAH WAINNAILAH RAJUUN NI MSIBA MKUBWA ULIOTUPATA MJI WETU WA LEICESTER MWENYEEZI MUNGU AMUWEKE MAHALI PEMA PEPONI AMIN,NA AMPE KAULI THABIT YEYE KATUTANGULIA NA SISI TUKO NYUMA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI KIKUBWA NI KUMUOMBEA NDUGU YETU HUYU MWENYEEZI MUNGU AMUWEKE MAHALI PEMA AMIN.

    ReplyDelete
  2. Inna Lillah Lilah waina Ilah Raajiuun
    Mungu amlaze mahali pema peponi Amiin, Mwalimu wangu huyu, kanifundisha pale mwananyamala, Al Falaah, Dar es salaam.
    inshallah mungu amjaze rehma na afike mahali pema.
    Shaibu - Houston

    ReplyDelete
  3. innalillahi waina ilahu rrajiuun Allah Amrehemu ndio mwisho wetu wanaadam alikuwa ustaadh wetu Alfalahi madrasah mwananyamala na alfarouq seminary school(mlomry)

    ReplyDelete
  4. Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun,mwenyezi mungu ampe kauli thabit.Kaka wa watu kafa.Amal zake njema ziwe manusura yake inshallah.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...