Vijana wa CCM mkoa wa Mbeya wakiwa wamenyanyua juu wakati wa kumpokea aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani humo Bw. Samweli Shitambala kwa kujiunga na chama cha Mapiduzi (CCM). Picha na Mbeya yetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hongera sana ndugu yangu umeamua vizuri chama chenye majivuno ubishi na ujeuri uliowajaa cha nn?hata wakipewa nchi wabongo wote watapewa siku imekuwa jeshi?hata kwata hawalijui waende zao huko hongera sana wakate nishai hao wengine wapo nyuma yako usihofu tena wakubwa tu

    ReplyDelete
  2. Welcome come home SAM.
    Wanarudi na hata wanaotoka wasidolewe. Ndio maisha na politiksi za Bongo.
    Mdau

    ReplyDelete
  3. zitakuwa ni njaa tu na wala hakuwa kidemokrasia..........

    ReplyDelete
  4. chunga tamaa mbaya chunga tamaa mbaya....:p

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...