
Katibu Mkuu wa chama cha waandishi wa habari za michezo Amir Mhando akitangaza majina ya wachezaji ambao wameteuliwa na kamati maalumu ya chama hicho kuwania tuzo za wanamichezo bora kwa mwaka huu wa 2011 katika hosteli za TFF jijini Dar leo. Kupata orodha kamili ya majina hayo BOFYA HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...