Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akiwa pamoja na Mke wa muanzilishi wa Project C.U.R.E. Daktari AnnaMarie Jackson baada ya Mama Kikwete kumpa zawadi moja ya vazi la asili la mwanamke wa kitanzania (kanga) na kumvalisha katika hafla ya kuagana huko Arizona. Taasisi hii inafanyakazi katika nchi 120 Duniani, huwa inautaratibu wa kumchagua mke wa Rais mmoja kutoka nchi ambazo zinahitaji kusaidiwa na kumfanya HARAMBEE kwaajili ya kuchangia vifaa mbalimbali vya afya pamoja na madawa. Project C.U.R.E. imeshachangia wake 6 wa Marais duniani akiwemo Mama Salma Kikwete ambae katika nchi za Afrika ni wapili kuchangiwa akitanguliwa na GHANA.

Du! Asante kwa habari na picha lakini hakuna mlima unaoitwa mlima Arizona. Mlima gani huo jamani wakati ni ka-kichuguu tu hako?
ReplyDeleteWashington Consensus hiyo. Yetu macho.
ReplyDeleteGood job mama kikwete!!!!
ReplyDelete