Salam,
URBAN PULSE CREATIVE inapenda kuwaletea video Fupi ya kuhusiana na mahojiano kutoka kwa Afisa wa Mawasiliano Wizara ya mambo ya Nje Ali Kondo kuhusu mauaji ya Albino Tanzania wakati wa kumalizika katika mkutano wa Diaspora lll jijini London mapema mwezi huu.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...