Michuzi,
Pamoja na kwamba umekula bati na kiroho kinakereketa ile mbaya kama vile hakuna kitu inaendelea duniani,  lakini tafadhali simama toa heshma kwa Wanaume Man U. uta "walk alone" mpaka lini babaangu?  Hebu tuwekee picha  hizi zilizoleta raha leo dunia nzima

Mkere Man U.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2011

    HAMNA LOLOTE UBINGWA WA KUBEBWA NA MAREFA POLENI NDUGU ZANGU!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...