Steve Nyerere 'Messi' na  JB wakiingia uwanja wa Kirumba  taratiiiiibu tayari kupambana na timu ya waandishi wa habari wa Mwanza ijulikanayo kama Rock City Stars katika mchezo wa hisani kuchangia ununuzi wa madawati kwa ajili ya shule ya msingi ya Ilemela, ambapo matokeo yalikuwa 1-1
 Ben Kinyaia na Steve Kanumba 'Giggs'
 Bongo Movie Stars kabla ya gemu. Picha na G Sengo
 Rock City stars (Picha na G Sengo)
 Mbunge wa Ilemela Mh. Highness Kiwia akisalimiana na Steve Nyerere 'Messi' wa Bongo Movie Stars kabla ya mchezo. Picha na John Bukuku
 Nyota wa Bongo Movie Stars wakitua uwanja wa ndege wa Mwanza. Mwenye Ze fulanazzz ni Masoud Bitebo ambaye ni midfielder hatari sana wa timu hiyo. Picha na Ray the Greatest
Wema Sepetu akiwa na Steve Nyerere baada ya kutua Mwanza. Picha na Ray the Greatest

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2011

    Mbona kingwendu, majuto,bambo na wengineo hawapo? au wao sio wanasenema?

    au wanachukuliwa wanasenema wanaochichubua tu na wale kina muhogo mchungu na mzee small hawapo.

    hehe nawewe Ankali mithupu sio mcheza senema mbona haupo au wewe mtakuja kucheza mechi za wana libeneke hapo lazima uwapige bao.

    mdau wa liliondo kwa babu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...