Mdau Jacob Mwashiozya akiwa na my wife wake baada ya kula nondozzz ya master fo Business Administration in Finance and Risk Management kutoka chuo cha Saint Peter's College, New Jersey, Marekani .
Mdau akiwa na rafiki, my wife, na watoto baada ya kula nondozzz ya MBA in Finance and Risk Management kutoka chuo cha Saint Peter's College kilchopo New Jersey, Marekani.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...