Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ,akisikiliza Taarifa ya Ujenzi wa Jengo jipya la Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,iliyokuwa ikisomwa na Afisa Tawala Wilaya ya Kati Unguja Sabri wakati alipofanya Ziara ya kutembelea na kuona hatua za ujenzi wa jengo hilo jana,liliopo Tunguu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiuliza jambo kwa Fundi Mkuu Moh'd Omar,wakati alipotembela kiwanda cha maandalizi ya Mbegu mbali mbali katika kituo cha kilimo Bambi alipokuwa katika ziara wilaya ya kati Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akitembelea ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya wilaya Uzini,alipokuwa katika ziara ya wilaya Kati Unguja jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein ,akiuliza jambo kwa mtaalamu wa kilimo kutoka nchini Misri,wakati alipofanya ziara ya kutembelea Shamba la jeshi la kujenga uchumi (JKU) Bambi na kupata taarifa za kilimo cha Mahindi,pamoja na mboga mboga kinacholimwa na jeshi hilo .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akitembelea shamaba la mpunga wa majaribio aina ya NERICA,huko kituo cha kilimo Bambi jana,akifuatana na Waziri wa kilimo na Mali Asili Mansour Yussuf Himidi, na Katibu wake Othman Afani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2011

    Big Up Mh. Shain,
    ananifurahisha kwa kupiga rain boot zake na kuingia shambani. Siyo kama wale wanaowekewa mikeka kupanda miti au maua. Is a serious figure.

    Big UP
    Mdau Uswaz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...