Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2011

    Lile Tsunami la Japan likitokea hapo.. hatoki mtu humo ndani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2011

    Hatuombei tsunami litokee bongo. Ila wenzetu wanachukua tahadhari. Sisi tunatumia kisingizio cha "hatuna pesa".

    ReplyDelete
  3. Hilo BATI huko juu linatia aibu Bana.

    Waambieni waweke angalau kile kigae maarufu kama cha Sauz Afrika Bana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2011

    japan waliweka ukuta imara kuzuia maji yasivuke lakini yalivuka na kuharibu kila kitu!

    hapo knjaro hamna kizuizi chochote (japo ht ukuta ukijengwa watz watasema ni ufisadi)

    labda tuombe mungu tu yasitokee ya jp

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2011

    Hivi ni Kilimanaro or Kilimanjaro Ati!? Au hii mpya hii...?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2011

    Hata yakitokea ya JP mnafikiri ni Kilimanjaro hotel tu itaathirika? Ni sehemu kubwa ya jiji. Tuombe Mungu yasitokee kwetu. Na tutafanikiwa tu endapo tutaacha dhambi kama vile uasherati, uzinzi, uonevu, dhuluma, wizi/ujambazi n.k.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 21, 2011

    Zamani nilikua naona hoteli hiyo kama sijui wapi vile. Nikibahatika kwenda hapo hadithi itakua week nzima na nilichokua nakula ilikua unakula kidogo ili kisiishe. Maisha!!!!!! Lakini ssa hivi naona hiyo kama Marriott tu au motel inn...tu

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2011

    The best in Dar.........cheer's

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...