Marehemu Elizabeth A. Mwingira wakati wa uhai wake.
Ni masaa,siku,wiki na hatimae leo umetimiza siku arobaini tangu ulipotutoka mapema mwezi uliopita.Unakumbukwa na Mume wako Alphonce V. Mwingira na watoto wako Vitus, John na Honest tulikupenda sana.
Hata hivyo aliyekupa uhai na kukufanya Mke wa Alphonce na mama ya Vitus, John na Honest alikupenda zaidi. Katika kipindi cha uhai wako umefanya kazi kubwa sana hapa duniani ikilinganishwa na umri wako. Baadhi ya kazi hizo ni kusaidia na kuwezesha wasio na uwezo, kazi ya kuunganisha watu pale palipotokea matatizo, kazi za kijumuiya, na kadhalika.
Ulikuwa mcha Mungu usiyochoka. Sisi hatuna shaka yoyote kwamba sasa unapumzika kwa amani mbinguni. Tutakukumbuka milele.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana litukuzwe.
Alphonce



jamani, nimependa mno sifa za marehemu. inapendeza mtu anapofanya mema na kuacha kumbukumbu zinazoliwaza duniani.
ReplyDeletenaiombea roho yako iende peponi elizabeth mwingira.
mzuri jamani du! vizuri havidumu duniani naona Mungu huwa anaona wakiendelea kuishi watakujakumkosea bora awapumzishe ili waende mbinguni. RIP Elizabeth Mwingira.
ReplyDeleteshe was the most beautifull woman,may God rest her in peace.
ReplyDelete