Ni katika  Chuo kikuu cha Maryland  huko Marekani  na  mdau Bi. Kristine Mhando anakula pozi baada ya  kunyakua nondozzz ya ya uzamili (Msc in health care Administration) wikiendi ilopita. Naona wadau wa Globu ya Jamii huko ughaibuni wamecharuka; yaani hawataki mchezo kabisa katika kupiga vita umande

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2011

    Fulu kuuza sura my cousin, Nice pause
    I miss you

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2011

    Congrats kristine....kisses!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...