Mrajisi wa vyama vya ushirika nchini Anaclet Kashuriza (kati) akiwasikiliza kwa makini wajumbe wa mkutano mkuu wa chama cha ushirika mkoani Kagera walipokuwa wakitoa hoja zao wakati wa kikao cha makisio ya chama hicho cha ushirika ya mwaka 2011/2012 kilichofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Bukop uliko katika manispaa ya Bukoba. Kulia kwa mrajisi huyo ni mwenyekiti wa chama hicho John Binunshu na anayefuata ni meneja mkuu Vedasto Ngaiza.Picha na Audax mutiganzi wa Globu ya Jamii,Bukoba
Juu na Chini ni wajumbe wa mkutano huo mkuu wa chama cha ushirika mkoani kagera wakitoa hoja zao wakati wa kikao cha makisio ambacho kilipitisha bei mpya za ununuzi wa kahawa kwa mwaka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...