URBAN PULSE CREATIVE inawaletea sehemu ya kwanza ya mkutano wa Diaspora lll uliofanyika wiki iliyopita hapa jijini London. Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Mh Bernard Membe alieambata na wabunge wa vyama na taasisi mbalimbali za serikali ya Tanzania.
Asanteni
URBAN PULSE CREATIVE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2011

    Urban Pulse! Jolly good to see another well edited clip, much respect for your good work. I'm not sure you guys if you have a closer vision! But as I spoke to Baraka in the first day of Diaspora, I salute for your good work. Seat Down and have a VISION then make it happen. Mdau - UK

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2011

    Waziri ameongelea kuhusu kupata takwimu za watanzania wanaoishi nje ya nchi ulimwengu mzima. Je kwa kutumia mtandao (internet) naona itakuwa rahisi kwa watu kuweka details zao kuliko kutegemea balozi (experiences za wengi ni kuwa huduma sio nzuri au cost ya kupeleka details ni kubwa 9usafiri n.k)) au vyama vya watanzania kwani vilivyopo sana sana ni vya kisiasa. Tengenezeni website ndio watu waelekezwe kuwa hapo ndio details zinabidi kuwekwa. Ukitolewa muda wa kutosha, nadhani wizara itaweza kupata details nyingi zaidi.

    Cha muhimu tu ni kuwa, security ya hiyo site ieleweke, na details zinazohitajika zieleweke mapema na ni kwa nini zinahitajika, mfano tarehe ya kuzaliwa... kwa sababu ya security, hii detail ni muhimu iwe kweli inahitajika na sio tu kujaza fomu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...