Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla, ( kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Turiani, Wilayani Mvomero , ( ASP), Rajabu Shemndolwa ( kulia) saruji mifuko 40 na bati 40 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Turiani, ambapo  ujenzi wake umekuwa ukisuasua tangu mwaka 2003 , vifaa hivyo vinathamani y ash: milioni 1.5

Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla, ( kushoto) akikagua ujenzi wa jengo la Kituo cha Polisi  Turiani, Wilayani Mvomero ,akiongozwa na ( ASP), Rajabu Shemndolwa ( kulia) ,  ujenzi wa Kituo hicho umesuasua tangu mwaka 2003 , hivyo  Mbunge huyo ametoa msaada wa bati 40 na saruji mifuko 40 , vyote vikiwa na  thamani y a sh: milioni 1.5

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...