baadhi ya wakazi wa manispaa ya Bukoba wakiangalia gari dogo aina ya Toyota Corolla lililokuwa linaendeshwa mtu aliyejulikana kwa jina moja la Matungwa ambalo lilitumbukia kwenye daraja lililoko karibu na hospitali kuu ya mkoa wa Kagera mara baada dereva wa gari hilo kushindwa kukata kona kutokana na mwendo kasi aliokuwa nao.
Home
Unlabelled
mwendo kasi wapelekea gari kuingia mtaroni huko bukoba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mwendokasi!!!Ukiwa mshamba ghafla ukapata pesa nyingi ukanunua gari, ukajifunzia mtaani udereva bila ya kwenda shule na ukaelewa kuendesha barabarani sasa hizo mbwembwe zake si mchezo, ni kulipeleka tu gari bila hata ya kujari sheria barabarani, kuovateki. Mshamba yule ndio mwenye haraka zaidi kuliko hata madereva wenziwe barabarani.Honi kila wakati pasipo hata sababu barabarani(haraka haina baraka). Yawezekana "Ta Matungwa" ndio wamojawapo hao akaingia mzimamzima mtaroni.Lakini si wote wenye matendo hayo mabaya barabarani, wapo wenye kufikiria juu ya faida ya uwepo woa hapa duniani. Pole sana kwa kweli.
ReplyDelete