Dr. Christina Mnzava ambaye alikuwa msimamizi wa uchaguzi mkuu wa chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa (TALGWU) uliofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa hoteli ya kanisa la Kirutheri mjini Bukoba, akiongea mara baada ya kutangaza matokeo katika uchaguzi huo,Anacret Kakwezi alichaguliwa mwenyekiti wa mkoa wa chama hicho.
mwenyekiti mpya wa TALGWU wa mkoa wa Kagera, Anacret Kakwezi akiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa baraza kuu ya TALGWU taifa, Rama Maselle ambaye ni pia ni mwandishi wa radio free africa.Picha na Audax Mutiganzi - Globu ya Jamii,Bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...