Nape akizunguma na wanafunzi hao wa UDOM
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnayue akimkabidhi cheti cha mwanachama mwaminifu wa CCM, Mwenda Omari, katika sherehe ya kuwaaga wahitimu wa mwaka wa tatu wa chuo hicho, iliyofanyika jana kwewnye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnayue akimkabidhi cheti cha mwanachama mwaminifu wa CCM, Dotto Omari, katika sherehe ya kuwaaga wahitimu wa mwaka wa tatu wa chuo hicho, iliyofanyika jana kwewnye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma
Mwenyekiti mstaafu wa CCM tawi la CCM, Chuo cha Sanaa, Lugha na Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Dodoma, Salum Nyambi, ambaye anasoma shahada ya Uhusiano wa Kimataifa, akimkabidhi kitabu cha Azimio la Arusha, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, katika sherehe ya kuwaaga wahitimu wa mwaka wa tatu wa chuo hicho, iliyofanyika jana kwewnye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma.
Baadhi ya wahitimu wa mwaka watatu Chuo cha Sanaa, Lugha na Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Dodoma, wakiwa kwenye sherehe hiyo
Nape akizungumza na Mwwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya herehe hizo, Kitima Thomas. Picha zote na mdau Bashir Nkoromo
Waungwana hiim imekaaje maana Chadema walikwenda Udom wakaambia ni marafuklu siasa za vyama kuzipeleka kwenye taasisi za elimu, je na hapa watatoa tamko jingine au hapa ndio wanamezea kabisa. Na je Mkuu wa Chuo hakuliona ili na Waziri wa Elimu naye ameona? Je Nape ina maana alikuwa hana taarifa kuwa ni marufuku kuingiza siasa vyuoni.
ReplyDeleteNadhani siasa za Tanzania ni umamluki tu wengine wanakatazwa wangine wanafanya. Kama ni msumeno ukate pande zote
Tunawapatia miezi mitano ya kutafuta kazi mtaani, nina hakika baada ya miezi mitano watakuwa na maamuzi sahihi, vinginevyo wapatiwe ajira makao makuu ya chama. Hapa wako under influence of quid pro quo return.
ReplyDelete