Waziri katika Ofisi ya Mambo ya Nje ya Uingereza Bwana Henry Bellinham (kulia) leo ametembelea Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Halaiki ya Rwanda (ICTR) Arusha akiongozana na viongozi wengine pamoja na Balozi wa Uingereza Nchini Mama Diane Corner ili kujua maendeleo ya kazi za mahakama hiyo. Alipofika hapo ICTR alipokelewa na Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Mahakama hiyo Bwana Danford Mpumilwa. Pichani wakiwa mlangoni mwa mahakama hiyo hapo AICC.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...