Mshindi wa MIAMI Sprite slum Durk Competition,Guy Dupuy kutona nchini Ufaransa akionyesha umahiri wake wa kuruka katika moja ya mashindano hayo.Guy Dupuy atakuwepo matika mchezo utakaochezwa siku ya jumapili katika viwanja vya Leaders Club,jijini Dar kati ya timu ya USA AND1 Vs DAR ALL STARS.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2011

    huu muda ni sawa?kuwa ni saa 7 mchana na sio kama uliokuwepo kwenye site ya and 1 kuwa ni saa 1 asubuhi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...