Mshiriki wa Big Brother Africa Amplified Bhoke Egina akifafanua jambo katika mahojiano aliyoyafanya katiki kipindi cha Jahazi kinachoendeshwa na redio Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam jana jioni.
Home
Unlabelled
Bhoke alipohojiwa na Clouds FM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


yan huyu mwanamke anaongea hata haya hana ujasiri gani huo unawadhalilisha wazazi wako fala ww, asshole!
ReplyDeleteKwa kweli Mboke umeniacha hoi. Yaani hujutii hata kidogo kufanya tendo kama lile hadharani? Haidhuru wewe hujali lakini ukumbuke una ndugu jamaa na marafiki, wazazi, wadogo zako na pia unatazamwa na watu wa mataifa mbalimbali ambao kwao tendo hilo ni kinyume na maadili. Sasa umeamua hata hao ndugu zako uwadharau, uwavunje moyo? Au huna ndugu uliokotwa mtaani ukiwa mdogo? Ni aibu eti!!!!
ReplyDeleteHivi watu wakiingia Big brother anajiwakilisha mwenywe au sisi watanzania.? kwa maana sielewi attitude ya Bhoke kwamba anachukuwa responsibilities blah blah... kama unawakilisha watanzania basi Bhoke ametuweka wanawake wakitanzania as easy lays...kwa maana whole Africa is watching!!! very sad..
ReplyDeleteProud and self respecting Tanzanian Female
kwakweli wa tz sasa mnavuka mipaka uo ni uhuru wake binafsi kawaibisha kivipi mbona ni vitu vya kawaida?mnachekesha sana nyie yy kaamua ni uamuzi wake sasa nyie kwa nn mumshikie bango?
ReplyDeletemshenzi sana huyu mwanamke ! anatafuta umarufu, hivi kaka michuzi huwezi kuongea na medias wenzako mumpotezee huyu dada kwa sababu kwa jambo alofanya na bado hajutii na wala haoni kama amefanya kitu cha ajabu na media zinamkaribisha basi mwengine atafanya kubwa kuliko hilo! huyu muisolate media wote pls kaka michuzi! hivi vitu vinatakiwa VIKEMEWE! PLS PLS PLS ongea na media wenzako mumpotezee huyu aone alochofanya ni kitendo CHA AIBU
ReplyDeletekweli huyu dada hajitambui kama anaona sawa tu aliyoyafanya huko alistahilikuondolewa hata hapa hm isijihusishe na mambo ya kijamii hasa kwenye midia maana hana jipya tena napendekeza vipindi vyake eatv anyang'wanywe kumkumbatia atachafua hali ya hewa kwa IIP MEDIA. in short hana manners!
ReplyDeleteanajivunia umalaya, and she doesnt regreat it!! mimi nalaume hawa MNET wanaochagua nani kumpeleka huko kuiwakilisha tanzania, sio ilimradi mtu kajua kiingeleza basi anafaa, wapimwe akili pia, manake huyu BHOKE doesnt sound normal to me!! after all that she did and she is proud of it!! u r proud of kuidhalilisha nchi yako!! ningekuwa mie ningevaa ninja na kujifungia ndani, its big SHAME!
ReplyDeleteNyinyi wote mnaoshambulia BHoke wanafiki wakubwa. (1) Big Brother is rated 18. Yaani ni onyesho kwa watu wa miaka 18 na zaidi, si watoto. (2)Bhoke hakwenda huko kwenye mashindano ya kimaadili. (3) Katika comments za jana kuna mdau alisema kuwa toa boriti jichoni kwako kabla ya kumtoa kijiti mwenzio. (4) Hao wanaojitia eti wanatetea hadhi ya mwanamke wa kitanzania waongo wakubwa sana. Je, wanatazama tv zetu na kuona wanawake wanenguaji wanavyodhalilishwa/na kujidhalilisha? (5 Bwana Yesu/Nabii Issa aliwaambia watu waliokuwa wanataka kumpiga mawe mwanamke mzinzi "Yule asiye na dhambi ndiye atupe jiwe la kwanza". Hamna aliyetupa jiwe hata moja. (6) Kama wewe adult reality tv haikufai mind your own business. (7) Tuacheni unafiki jamani. Kama tunataka kuimarisha maadili ya Kiafrika na Kitanzania tuanze na TV stations zetu kwanza, TENA ZOTE TBC, ITV, STAR, Channel 10, Eatv n.k. maana imefika hatua kuwa vidoe clips za muziki zikianza kuonyesshwa tu wazazi wanawaambia watoto, "haya, nendeni kalaleni" jinsi watu wanayocheza nusu uchi na kucheza namna ambavyo, kimila, mambo ya jando na unyagu yalikuwa yanafanyika kwa siri, si hadharani. (8) Bhoke nakutakia kila la heri, usijali utumbo wa hao ma-haters wanafiki ambao kazi yao kuwatukana wanawake kila wakipata upenyo au kisingizio uchwara.
ReplyDeleteNyinyi watoa maoni watatu wa mwanzo siwaelewi. Kama kweli nyinyi ni polisi au mgambo wa maadili tazameni kote katika jamii yetu muone watu wanaovunja maadili yetu more seriously. Wewe mchangiaji wa kwanza kabisa kama kweli wewe una adabu na unafuata maadili yetu usingelithubutu kumtukana mwenzako kwa kumuita asshole hadharani. Jirekebishe wewe kwanza kabla hujawakosoa wengine m***********!!!!
ReplyDeleteHuo ndio ukombozi wa mwanamke bwana. Nimeona hata kwa walioendelea kuna nchi fulani wanawake wameandamana kutaka wasishambuliwe kwa kuvaa nguo za uchi kwani ni haki yao. Mwanamke wa leo anataka afanye anavyojisikia na si watu wanavyotaka. Nawashukuru waislamu kwani wanawake zao bado wanaheshima ukilinganisha na wakristo wenzangu.
ReplyDeleteNafikiari itakuwa jambo jema kama wandaji au wasimamizi wa big brothers Tanzania watakuwa wanawahakiki watu wanao wapendekeza kwenda kuwawakilisha kabla ya kuwapeleka. Tatizo linalojionyesha ni uelewa wa wa watu wanaowakilisha ni finyu kutokana na matokeo. Asante.
ReplyDeleteNjoo ufanyiwe maombi..
ReplyDeleteUsitudanganye kwamba hujutii ulichofanya. Hakuna mtu anayefurahia kila mahali anapopita watu wanamnyooshea vidole hasi. Kila mtu angependa kusifiwa kwa jambo alilofanya na si vinginevyo. Vua nguo basi wakati wa joto dar utembee barabarani ili tujue hujali.
ReplyDeleteDah ulinifurahisha pale ulipokolea hadi ukachezesa miguu mpaka ikataka kung'oka.
ReplyDeleteTunashukuru tumeona X video ya bure toka kwa mtz mwenzetu. Nilikuwa sijawahi kuziona nadhani kwa vile kwa mawazo yako watu wengine ni washamba ndio mana hawafanyi hadhrani wewe ni wa kwanza.
Kumbukeni si kila anyejiita mtanzania ni mtanzania wa kweli. Wapo watanzania asilia na watanzania wa kuhamia. Hawa ni tofauti. Pia mkumbuke tuna maadui wengi siku hizi wanatumia kila mbinu inayowezekana kuchafua jina la nchi ili watalii na wawekezaji wapate picha mbaya ya nchi waache kuja. Mfano, tendo alilolifanya mboke linaashiria kuwa sisi ni wafuska sana ndi maana kuna ukimwi. Mtu anaweza kuacha kuja akihofia ataambukizwa ukimwi.
ReplyDeletei do not see why a fellow Tanzanian like us can be so proud kwa ukosefu wa maadili. she is living a fake life and it will cost her alot in future. What she did can never be an example to our society hence the more they keep interviewing her the more nonsense she will pour out.
ReplyDeleteImaginw what our parents think of the youth after seeing waht she did? it is so shameful
Hiyo kutokujuta is just a defensive attitude cause she knows kakosea lakini how to correct the situation? maji yashamwagika.. shame....
ReplyDeleteSasa naelewa kwa nini Lotus alimnominate. Alijua atavurunda tu.
ReplyDeletenilikuwa napenda presentation ya vipindi vyake chanel 5 lakini kwa hili, sina hamu, napotezea vipindi vyake, kwanza wam-delete maana watu hawatapenda kumskia tena,apotelee mtaani kwa wamachinga........
ReplyDeleteAibu hana, hata vinguo vyake vya kwenye tv vinaashiria tabia ya mtu,mtu unaweza mjaji vaa yake, ila hapo kazidi.
ReplyDeletekwakweli bora wamempigia kura ya kumtoa kwasababu sasa naweza kuangalia BB. Alikuwa ananitia kichefuchefu, the lady was FAKE!!!! Bora Lotus ila huyu dada nilikuwa wa kwanza kuhamasisha kupiga kura ya kumtoa. I've never vote for my fellow Tanzanian out but for this "FAKE CREATURE" I couldn't tolerate. Now big brother is watchable previously if I could continue watching may be I could get a heart attack kwa hasira!!
ReplyDeletemi nadhani anamatatizo ya kimwili huyo na mapepo namshauri aende kwa mchugaji aombewe labda ni jini mahaba linamsumbua.....
ReplyDeleteTunataka hao waandaaji nao watuambia ekama big brother ni personal tusimalize vidola vyetu kuwapigia kura hawa vicheche. Na globu za jamii ziache kutangaza personal issues kama big brother! Eti wanapima ngoma na ukikutwa nayo unatolewa? Acha uongo ndio maana mwingine anajitetea tunapima na uzito. Hamna cha kupima ngoma wala nini since that is against human right. Huyo kajilengesha kwa mganda asubili kuhara tu kama hawajachanganya virusi. Hamna sehemu duniani wanapima watu ngoma na kuwa disqualify hiyo ilikuwa 1980s. Alafu na lenyewe linasmile baada ya kusikia wamepimwa. Mnamzuga nani!
ReplyDeleteBhoke is a disgrace to womanhood. Unaachia tu mbele ya kamera utadhani umerogwa. Na kama utaendelea na vipindi vyako pale Channel 5, then I promise, I will never set my eyez on that channel. Umenitia hasira wewe, mpaka basi.
ReplyDeletelabda alijua kwamba alivyo fanya upuuzi wake watu wataendelea kumpigia kura kwamba abaki..hii inaonesha jinsi mtu anvyoweza kuwa na ufinyo wa akili ,ningeshauri akapimwe akili.labda anaweza akawa mwezetu ni mgonjwa.
ReplyDeleteMdau.
PhD student of psychology
rotterdam of University.
huyu anony namkopi "Huo ndio ukombozi wa mwanamke bwana. Nimeona hata kwa walioendelea kuna nchi fulani wanawake wameandamana kutaka wasishambuliwe kwa kuvaa nguo za uchi kwani ni haki yao. Mwanamke wa leo anataka afanye anavyojisikia na si watu wanavyotaka. Nawashukuru waislamu kwani wanawake zao bado wanaheshima ukilinganisha na wakristo wenzangu."
ReplyDeleteFri Jun 10, 02:42:00 PM 2011
Unaposema Waislamu na wakritu usigeneralize mimi ni mkristu na najiheshimu, na najuwa wakristu wengi tu wanaojiheshimu. na vilele kuna waislamu wako kwenye kundi la kutojiheshimu, so angalia ukitoa commnet za hivi.sitaki kusema mengi but nina mifano mingi ya kutojiheshimu kwa wote waislamu na wakristu. kwa mtu kujiita ana Dini sio guarantee kuwa anajiheshimu
Imeonyesha kiasi gani kushiriki kwako haikuwa kwa ajili ya PESA bali MAPENZI umewanyima nafasi wenzio ambao wangefanya kweli na kufika mbali,maneno yako ushahidi tosha kumbe ndiyo maana ulimuambia ERNEST wewe BHOKE haitokuuma ukitoka ndani ya BBA kuliko ERNEST.
ReplyDeleteHuyu BHOKE alipita pita vipi kwenye audition?au alishikwa mkono maana she is not BB material
Barua ya wazi kwa Reginald Mengi:
ReplyDelete"KAMA KWELI WEWE NI ADUI WA UFISADI, TUONDOLEE TAKATAKA HII KWENYE TV YAKO VINGINEVYO NA WEWE TUTAKUONA FISADI WA MAADILI"
Haya ni maneno kutoka moyoni! Michuzi fanya hima Mengi aipate barua hii na ikiwezekana aitolee tamko kwenye TV.
Ankal asante sana kwa kutuletea mada kama hizi huwa zinachangamsha ubongo, pili pongezi shemeji Ernest kwa kuniiga style zangu za push-up na kupump kwa sana. Bhoke shame on you sister uliamua kumwaga radhi bila nyonga(mbuno) umewatia aibu kina dada wote wa kibongo kataa kubali wanaonekana wote maharage ya mbeya maji mara moja. hukufanya lolote kwenye sebene kazi kutetemeka kama uliyepigwa na shoti ya umeme.
ReplyDeleteHATA KAMA WANAPIMA KUNA "WINDOW PERIOD." BADO UHAMASISHAJI WA UKIMWI UHAHITAJIKA SANA NDIO MAANA MNAENDELEA KUFA KILA SIKU!! KAMA NINYI MLIOELIMIKA MNAFANYA HIVI NA WASIOELIMIKA ITAKUWAJE?
ReplyDeleteHivi nashangaa kwanini watangazaji wetu wanachanganya kiswahili na kiingereza wanapoongea kwa mawazo yangu kama wataongea kiswahili waongee kiswahili na kama wataongea kiingereza waendelee na lugha hiyo hiyo, huyo dada ametuabisha sana sio maadili yetu kabisa
ReplyDeleteMTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO. HUYU BHOKE AMEONYESHA JINSI GANI ALIVYOLELEWA NA AMETHIBITISHA HIVYO KWA KUTOJUTIA KITENDO ALICHOKIFANYA INA MAANA AMEPEWA BARAKA ZOTE TOKA KWA WAZAZI WAKE NA MUAJIRI WAKE HIVYO BASI SI TATIZO KWAKE KUFANYA HAYO ALIYOYAFANYA HATA MBELE YA KADAMNASI NA HISI HATA AJIRA YAKE ALIACHIA HAKO KAMCHEZO,LAKINI ANAYEWEZA KUTUTHIBITISHIA HAYO NI YEYE BHOKE.Ila tu namlaumu kama aliona ni sawa kufanya kale kamchezo kwa nini alijifunika mshuka wote ule ile ni haki ya NDOA huwa hatujifuniki mbona walipokuwa kwenye swimmingpool alionyesha wazi akimlambalamba,ila tu nakuthibitishia DADA BHOKE sasa umepata SOKO wengi watataka kufanya kale KAMCHEZO NAWEWE huku wakichukua VIDEO na MALIPO yake kwa MUWEZA ASIYEWEZWA utayaona, (Shangaroro-USA).
ReplyDeleteno wonder tanzania is among countries deeply strangled with AIDS pandemic, I didnt understand, this idot girl saying she doesnot reglect what she did in the BB house, it is not true I am sure she is deceiving her self. Very soon you will realise what you did was an immoral adulty thing!A broken heart that will never and ever heal, by the way the action is self it was very ordinary and unimpressive
ReplyDelete"One of the things/stratergy that I will not do in the big brother house is to have sex" (Bhoke quoted in big brother housemates highlights.) Well she had one. Hao mnaomtetea hamna hoja.
ReplyDeleteHOW DESPARATE YOU ARE WOMAN,YAANI UMEWEZAJE KUFANYA MAPENZI HADHARANI HUO SIO UJASIRI LABDA UNAMATATIZO YA AKILI,HALAFU UNAJIDANGANYA MMEPIMA UNAJUA KAMA KUNA INCUBATION PERIOD?ILITAKIWA MPIME MIEZI MITATU KABLA HAMJA FANYA HIVYO,UNAJIFANYA UNATAKE RESPONSIBILITY FOR EVERY THING U DID,UKIANZA KUHARISHA UTASUMBUA WATU UTAWAFANYA WAO NDIO WAWE RESPONSIBLE KWA USHAMBA WAKO,KWANZA UJANJA WOTE HUO NAMACHO WAUWAU LAKINI UMEFANYA MAPENZI KAVU TENA NA STRANGER HUO SIO UJANJA NAKUONEA HURUMA TAFUTA JINSI UJIREKEBISHE OTHER WISE UNAUTAFUTA UKIMWI KWA KASI SANA,HATA HAO WALIOANZISHA HIZO BIG BROTHER HAWAFANYI MAPENZI HADHARANI ALIFANYA HIVYO MMOJA TU BIGBROTHER UK MWANAMKE WA KIZIMBABWE NA ALIPOTEZWA KWENYE UCEREBRITY KAMA NDIO ULIKUWA UNAUTAFUTA,NAHIYO BB UK NAYENYEWE IMEKUFA VILEVILE,UMEJISAHAU KAMA WEWE NI TV PRESENTER UNATAKIWA UWEMFANO WA KUIGWA KWENYE JAMII KAMA PROFESSIONAL HAMZIWEZI MNAZIVAMIAGAZA NINI?UNGEKUWA UARABUNI TU BIBIE UNGEPATA HABARI YAKO MCHAFU SANA WEWE.
ReplyDeleteMganda katupiga mabao. Tukubali, tuwe wapole tu!
ReplyDeleteNA MASHUKA YA WA-SOUTH WALICHAFUA! DU LAAAAZI KWELI KWELI!
HUYU HAFIKIRII FUTURE. VIDEO NI PERMANENT RECORD. SASA WATOTO WAKO NA WAJUKUU WAKIJA KUONA HIZI VIDEO ZAKO YA PORNO NA KWAMBA UNAONA ULICHOFANYA NI SAWA, WATAKUAMINI KWELI UTAKAPOWAPA USHAURI WA KIMAADILI? KAMA ULIFANYA POSA, FOR RECORD PURPOSES INABIDI UOMBE MSAMAHA ILI KUMBUKUMBU IBAKI. HAO WANAOKUSHAURI USHIKILIE MSIMAMO WAKO WANAKUPOTEZA. NAO WANA MAWAZO MAFUPI. WATOTO WAKO NA WAJUKUU NAO WATAFANYA HIVI HIVI!!!
ReplyDeleteHongera Dada lakini sebene huliwezi yaani umechemsha sana nenda na wakati ungechanganya na sarakasi kidogo kwani ulinitaka watu wakuone,Thomba nyoko.
ReplyDeletethis is bullshit......
ReplyDelete