Home
Unlabelled
DIAMOND PLATNUMZ. THE DOCUMENTARY IN NAPLES, ITALY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Diamond acha umbagala unanwea Juice kwenye chupa?
ReplyDeletesafi sana ndugu zetu wa watu wa italy. keep it up! we live in a global village now kwa hiyo umbali si hoja kwenye collabo
ReplyDeletewe vipi hapo juu, umbagala ndo nini... we ushaona mtu kaacha asili yake... mwacha asili mtumwa wewe. sa sikia kijana wetu Diamond, we jiachie uwezavyo, just be you, do things which makes ya feel comfortable coz you will be just alright.
ReplyDeleteWaka waka man, big up sana mdau na big up SR!
Mi hoiii akisema hiyo Naples, Italy..duhhhhh
ReplyDeleteDiamond anajitahidi sana.japo ndo mara ya kwanza kusafiri na mwenyewe anakwambia katoa nuksi lakini kachangamka kweli. Yani utadhani yeye ndo mwenyeji. Big up lil bro,keep singing and fullfill your dreams. wewe unayesema aache umbagala kwavile anakunywa juice na chupa hiyo ni prefence yake. wee tumia glass kimpango wako. ujue hata ulaya kuna TB na kama anaona glass sio safi mwache apige tarumbeta.. at the end of the day ana-make money wewe uko behind computer stress kibaooooo ndo unabaki ku-hate tu.
ReplyDeleteKwani kunywa juice kwenye chupa kuna ubaya gani?? kama ingekuwa vibaya wasingeiweka kwenye chupa watu wacheni ushamba. Ila hii ngoma ya kizaizai kabla haijatoka hili beat lake tuu mi nshafall in love nalo
ReplyDeletemimi nampenda sana diamondi jinsi anavoimba JAMANI KAMA KITU KINAUCHUNGU ANAONESHA KWELI ILA HUYO HAPO JUU MWENYE JUICE KWENYE CHUPA ANAWIVU NDO UTABAKI HUTAENDELEA badala ya kumshauri kuhusu mziki unaongelea umbagala wewe vipi watu wengine bana acha hizo wewe utakufa maskini usipojirekebisha kauli za kibongobongo
ReplyDeletewatu wengine wivu tu ata asipotumia glass kuna shida gani aliyepewa kapewa tu hata mseme nini kijana kwa sasa zinamtembeleya wewe ulie tu ni kutesa kwa zamu sasa ni zamu yake au vipi kimekuuma sana meza wembe ukalale habari ndio hiyo
ReplyDelete