MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Ramadhan Khalfan, akizungumzia maendeleo ya maandalizi ya Maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Ukuzaji Biashara wa TanTrade, Masha Hussein na kulia ni hati safi ya ubora iliyotolewa na Shirika la BPA kwa TanTrade kwa kuyafikisha Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam katika kiwango cha kimataifa
Home
Unlabelled
tan trade yatunukiwa hati safi ya ubora ya maonesho ya biashara ya sabasaba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...