Karibuni Sana katika kuikaribisha summer time. 
Tutakuwa na Wasanii toka East Africa yaani Swahiri Record.
               Ni siku ya Friday Jun-24-2011 katika Ukumbi wa Lakkegate skole 79b.                  
Kuanzia saa 02 usiku mpaka majogoo, Kiingilio ni 100 kr.                   
Contact- Abdul a.k.a Dj Pred +47 988 78 361 Oslo Norway

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...