Jaji Kiongozi akisaini kitabu mara baada ya kupata maelezo kutoka kwa Maofisa Sheria wa Tume alipotembelea Banda la Tume ya Kurekebisha Sheria katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Jaji Kiongozi Jundu akipata maelezo kutoka kwa maafisa Sheria wa Tume.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...