Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Waziri wa Utamaduni , michezo na Utalii wa Jamhuri ya Korea Dr.Choung Byoung Gug leo asubuhi. Rais alirejea Dar jana jioni. |
Wananchi wa Mbinga wakimsalimia kwa shauku Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kumalizika ibada ya Kumsimika na kuwekwa wakfu kwa Askofu Mpya wa jimbo Katoliki Mbinga,Mhashamu John Ndimbo zilizofanyika katika kanisa la Mtakatifu Kilian mjini wa Mbinga, mkoani Ruvuma jana mchana.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa wakati wa sherehe za kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Mhashamu John Ndimbo,Askofu moya wa jimbo katoliki la Mbinga,mkoani Ruvuma jana.Kulia ni Mama Anna Mkapa.
hilo baraza la wakristo linalotaka rais atoe ushahidi upi tena?wakati kaisha waambia kuna baadhi wamekamtwa na vithibitisho?watanzania tuwe wepesi kuelewa tusiwe wepesi kuwa wabishi kama chadema na wafuasi wao ambao wote ni wahuni na wavutaji
ReplyDelete