Wazalendo na Wanataaluma Wenzangu;
Naomba kutoa taarifa kuwa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa TPN ulifanyika siku
ya Jumapili Tarehe 05-06-2011 kuanzia saa 8.00 Mchana Luther House DSM.
Baada ya uchaguzi washindi walikuwa kama ifuatavyo
President: Mr. Phares Magesa, Vice President: Mr. Richard Kasesera, Secretary General: Ms. Janet Mbene, Deputy Secretary General: Mr. Daniel Stephen, Treasurer: Mr. Gervas Lufingo, Deputy Treasurer: NIL: (To be contested later by any qualified TPN member) AGM delegated this task to EC
New Members of TPN Executive Committee (7 positions)
1. Mr. Charles Nazi, Ms. Happiness Mwasyali, 3. Mr. Geofrey Karokola, 4. Mrs. Consolata Maimu, 5. Mr. Paul Masatu, 6. Ms. Modesta Mahiga, 7. Mr. Mobili Isarya
Napenda kwa niaba ya wana TPN wote, kuwapongeza wote waliochaguliwa na
kuwatakia kila la heri katika majukumu yao mapya. Tunaahidi tutawapa
ushirikiano unaostahili katika kutimiza malengo ambayo TPN imejiwekea.
Wasalaam
Mz. Sanctus Mtsimbe
Rais anayemaliza muda wake
Naomba website au contact ya Network hii tafadhali.
ReplyDelete